Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) Kuendelea Leo.
Alhamisi ya leo 10 May 2018 michezo miwili ya ligi kuu Tanzania bara inapigwa katika viwanja tofauti ambapo michezo wa kwanza mabingwa watetezi Yanga watakua wageni wa Tanzania prisons.
Ratiba kamili hii hapa.
16:00 Tz Prisons vs Yanga Sc
16:00 Mbao Fc vs Ndanda Fc
Ijumaa 11 May 2018
19:00 Azam Fc vs Majimaji
Jumamosi 12 May 2018
16:00 Singida United vs Simba Sc
16:00 Kagera Sugar vs Njombe Mji
Jumapili 13 May 2018
16:00 Mtibwa Sugar vs Yanga Sc
16:00 Mbeya City vs Tz Prisons
Jumatatu 14 May 2018
16:00 Ruvu Shootinga vs Stand United
Jumatano 16 May 2018
16:00 Mtibwa Sugar vs Lipul Fc
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.