Kipa Mtibwa Sugar Aikana Yanga, Aitaja Timu Hii..


Kipa wa Mtibwa Sugar, Benedict Tinoco amesema kuwa hayupo tayari kujiunga na klabu ya Yanga  kwa sasa na kuitaja klabu ya Azam.

Tinoco amesema anaweza kufikiria kujiunga na Azam endapo watamuhitaji na si Yanga. Mlinda mlango huyo amekuwa na kiwango kizuri tangu kuanza kwa msimu huu licha ya hapo awali kuachwa na Yanga akionekana hana uwezo.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.