HIZI HAPA AJENDA ZA MKUTANO MKUU WA DHARURA WA SIMBA
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza ajenda nne zitazako jadiliwa katika mkutano mkuu wa dharura wa mabadiliko ya katiba utakaofanyika Mei 20.
Mkutano huo unatarajia kuanza saa 3 asubuhi katika ukumbi wa Kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Nyerere Convention Center.
Ajenda hizo ni
1. Kufungua Mkutano.
2. Kusoma mapendekezo ya marekebisho ya maboresho ya katiba ya Simba Sports Club.
3. Kupokea na kupitisha/ kutopitisha marekebisho/maboresho ya Karina.
4. Kufunga Mkutano.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.