Yondani: Ishu ni Okwi Na Bocco.
Mlinzi wa kati wa klavu ya Yanga, Kelvin Yondani ameongeza muda wa mazoezi kwa lengo la kuwadhiditi washambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi na John Bocco.
Simba na Yanga zitakutana Aprili 29 kwenye mchezo wa ligi kuu tanzania bara utakaofanyika uwanja wa taifa Dar es salasm.
Beki huyo ameahidi kupambana ili kuwadhiti.Yondani amesema hao ndio wachezaji wa kuogopwa kwenye kikosi cha Simba.
Nimepanga kutembea na Okwi kila anapokwenda kwa sababu huu ni mchezo muhimu kwetu ambao tutahitaji Ushindi hivyo lazima tuwadhibiti kwanza wasilete madhara kabla ya kuwamaliza, alisema Yondani.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.