Yanga Haooo, Makundi Kombe La Shirikisho
Licha ya kuchapwa bao 1-0 na Wolaitta Dicha kwenye mchezo wa marudio wa kombe la Shirikisho Barani Afrika, Yanga imefuzu kwa hatua ya makundikwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitatu kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1.
Ushindi wa nyumbani wa mabao 2-0 umeipeleka Yanga hatua ya Makundi na kujinyakulia kitita cha zaidi ya Mil 600!
Bao pekee la Dicha lilifungwa na Arafat kwenye dakika ya pili.
Pongezi nyingi kwa wachezaji, benchi la Ufundi na viongozi wa Yanga kwa kufanikisha tukio hili la Kihistoria walilowezesha wakiwa nje ya ardhi ya Tanzania.
Habari ziwafikie wale wa upende wa pili wenye roho nyeusiiiiii waliokuwa wakiomba Yanga itolewe.
Dua zao zimeshindwaaaaaaaa!
Bravo Young Africans, Bravo Tanzania...!

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.