Tetesi za Usajili Ulaya Jumanne 03.04.2018
Kipa wa timu ya
Manchester United, David de Gea (27) anatarajiwa kusaini mkataba wa
miaka tano inayo na thamani ya paundi £350,000 kila wiki. (Sun)
Timu
ya Tottenham wanamatumiani kuwa meneja Mauricio Pochettino na wachezaji
sita wakuu watasaini makubaliano mapya katika miezi michache inayokuja
(Telegraph)Meneja wa Manchester City Pep Guardiola atakuwa na timu dhaifu dhidi ya mechi na Manchester United Jumamosi hii, ambapo kishindo ingewapatia tuzo ya Premier League. (Express)
Mmiliki wa timu ya Chelsea Roman Abramovich hajafurahishwa na jambo la klabu kukosa kucheza katika ligi ya Champions lakini anasita kumfuta kazi meneja Antonio Conte,ambaye maebakia na mwaka mmoja katika mkataba wake yenye thamani ya paundi milioni 9.5.(Express)
Chelsea wanakabiliana na uwezekano wa kuwapoteza wachezaji tisa katika timu ya kwanza majira ya joto (Telegraph)
Liverpool wanamatumaini ya kumpata Valencia Ferran Torres, ikiwa pia timu ya Chelsea pia wanamtaka kijana huyo wa umri wa miaka 18 (Mail)
Everton itatakiwa kukabiliana na vilabu tatu vya Uhispania kama wakitata kumpata mlinzi Wilfried Kanon kutoka Ivory Coast (Sun)
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.