Teesi: Yanga Wamnyatia Straika Machachali Wa Wolayta Dicha..
Huenda klabu ya Yanga ikamnasa straika wa Wolayta Dicha, Djako Arafat ambaye ni raia wa Togo.
Djako alionekana jana akiwa na mwenyekiti wa kamati ya usajili wa klabu ya yanga,Husein Nyika baada ya kumvuta pembeni straika huyo na kuteta naye...
Ikumbukwe kuwa Yanga jana ilifanikiwa kuiondosha klabu ya Wolayta Dicha kwa agrigate ya goli 2-1 licha ya Yanga kupoteza kwa goli 1-0 na kubebwa na ushindi wa nyumbani wa goli 2-0.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.