Taarifa Mpya Kutoka Simba Mchana Huu
Kikosi cha Simba kimefika salama mkoani Morogoro, kitaweka kambi ya muda kabla ya kuanza safari kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mchezo unaofuata dhidi ya Lipuli FC #SimbaYetu #MwakaWetu #LigiKuu pic.twitter.com/ubN5uWj2YE— Simba SC Tanzania (@SimbaSCTanzania) April 18, 2018
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.