SIMBA NA YANGA ZAGONGANA



Vilabu vya simba na yanga vinagombania uwanja wa chuo cha biblia Morogoro kwa ajili ya kuweka kambi kujiandaa na mchezo wao wa watani wa jady utakaopigwa tarehe 29 mwezi huu katika uwanja wa taifa.

Habari kutoka morogoro zinasema simba na yanga wote wameandika barua ya kuomba uwanja huo kwa ajili ya kufanyia maandalizi.

Simba na Yanga watacheza michezo yao ya VPL mwishoni mwa wiki hii kabla ya kukutana wenyewe kwa wenyewe simba watakuwa wageni wa Lipuli jumamosi hii tarehe 21 katika uwanja wa Samora Iringa huku yanga wakiwa wageni wa mbeya city katika uwanja wa Sokoine mbeya tarehe 22

Viingilio vya mchezo huo vimeshawekwa wazi
Popular 7000
VIP B 20000
VIP A 30000

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.