Samatta Aiongoza Genk Kupata Sare Dhidi Ya KAA Gent


Mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Ally Samata timu yake bado wanasuasua kwenye michezo ya Play Offs ya Ligi kuu ya Ubelgiji
Jana Mbwana Samata aliiongoza Genk kutoa saluhu kwenye muendelezo wa mechi hizo huku Samata akicheza kwa dakika 65 tu na kumpisha Mgiriki Nikolaos Karelis
Baada ya Kutoa suluhu jana Timu ya Genk imeendelea kuwa katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa Play Off wa ligi kuu ya Ubelgiji ikiwa na pointi 27

Gent na Genk zimecheza michezo 4 ya Play Off huku zingine 4 (Club Brugge, Anderlecht, Standard na Charleroi) zikiwa zimecheza michezo 3. Pia usishangae michezo 4 pointi nyingi huwa nachukua timu iliyoshika nafasi 1-6 ndio zinacheza playa Off huku wakiwa na point zake.
Baada ya michezo 10 ya Play Off kuisha anayeshika nafasi ya kwanza atafuzu makundi Uefa Champions League, aliyeshika nasafi ya Pili atafuzu mtoano wa kufuzu makundi ya Uefa Champions League
-Wakati aliyeshika nafasi ya 3 atafuzu makundi ya Uefa Europa League na aliyeshika nafasi ya nne ataanzia mtoano wa kufuzu makundi ya Uefa Europa League.

Msimamo wa Play Off
1-Club Brugge =37
2-Anderlecht =34
3-KAA Gent =32
4-Standard de Liege =28
5-KRC Genk =27
6-Charleroi =27

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.