Matokeo Na Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL)
Ligi kuu Tanzania bara VPL meendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa na Mpira kumalizika katika dimba la Kambarage, Shinyanga, kwa wenyeji Mwadui kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Majimaji FC.
MSIMAMO: Baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Majimaji FC iliyoupata leo, Mwadui FC imepanda kutoka nafasi ya 13 hadi nafasi ya 10 kwa kufikisha pointi 23 huku Majimaji wakiendelea kubaki mkiani mwa msimamo wa VPL
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.