MANENO YA MASAU BWIRE BAADA YA RUVU SHOOTING KUPAPASWA NA MAJIMAJI.


Msemaji wa klabu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kilichotokeakwenye mchezo dhidi ya Majimaji ni kuwa walishibdwa kuwapapasa baada ya kuweka miiba sehemu zote za kupapaswa.

Salama wapendwa! Kilichotokea Majimaji Songea;Tambueni Majimaji Sc hawana maarifa wala uwezo wa kuipapasa Ruvu Shooting ila, walizuia sehemu zote za kupapaswa kwa kuweka miba!

Hatukupapaswa, tumeshindwa kupapasa kutokana na "miba" kuwekwa maeneo ya kupapaswa!

Bila akili kubwa, ni vigumu kutambua! "Miba"

Ruvushooting imepokea kipigo cha goli 3-1 kwenye mcezo uliopigwa mjini Songea.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.