Manchester United Yaikabidhi Ubingwa Wa EPL Manchester City.
Klabu ya Manchester City imetangazwa kuwa bingwa wa ligi kuu England na hii ni kutokana na kipigo cha goli 1-0 walichopata wapinzani wao Manester United kutoka West Bromwich.
Kipigi hicho kimeifanya ManCity kutangazwa rasmi kuwa Bingwa wa EPL 2017/2018 wakiwa na point 87 na game 5 mkononi, kwani hakuna timu EPL inayoweza kufikia point zao hata kama wakipoteza game zote 5.
City walikuwa wakiyangojea matokeo ya Man United ambayo ilikuwa ikiwafuatia ikiwa na pointi 71 ambapo kama ingefinga mchezo wa leo ingefikisha pointi 74 kitu ambacho katika michezo mitano ingeweza kufikisha pointi 87.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.