HIVI HAPA VIKOSI VYOTE, MBEYA CITY VS AZAM FC.
IKI HAPA KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YA MBEYA CITY
Kikosi cha kwanza cha Azam Fc dhidi Mbeya City leo saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Sokoine Mbeya
1:Razack Abalora
2:Swaleh Abdallah
3:Salmin Hoza
4:Abdallah Kheri
5:Agrey Moris
6:Himid Mao (C)
7:Salum Abubakari ‘Sure Boy’
8:Frank Domayo
9:Shabaan Idd ‘Chilunda’
10:Yahya Zayd
11:Joseph Mahundi
Kikosi cha Akiba: Mwadini, Lusajo, Braison, Masoud, Kipagwile, Singano na Kimwaga
HIKI HAPA KIKOSI CHA MBEYA CITY DHIDI YA AZAM FC
Kikosi cha kwanza cha Mbeya City dhidi ya Azam Fc loe saa 16:00 kwenye uwanja wa Sokoine -Mbeya
Chaima, Kabanda, Mwasapili, Lundenga, Malima, Shamte, Ambokile, Majaliwa, Hangaya na Babu
Kikosi cha Akiba, Fikirini, Rajab, God, Samata, Dan, Hamidu, George
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.