TAARIFA KWA UMMA
Mtandao wa habari za michezo wa www.sokakiganjani.blogspot.com unapenda kuwashukuru wadau na wasomaji wetu wote kwa ushirikinao mkubwa na uaminifu ambao mmekuwa mkitupatia. Hatukupenda kusitisha huduma zetu bali pia hatukupenda kukwaruzana na TCRA kutokana na masharti ambayo hatuwezi kuyamudu/kutimiza tunasitisha huduma zetu kwa muda usiojulikana kuanzia leo tarehe 15 juni 2018.

By Alexander Victor:
Blogger @ sokakiganjani.blogspot.com
follow us on facebook: @ vyankende.com, twitter: @vyankendeVictor, Instagram: @vyankendesports
+255 656 800 588

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA TANZANIA PRISONSKikosi cha kwanza cha Simba Sc dhidi ya Tanzania Prisons saa 16:00 jioni kwenye uwanja wa Taifa-Dar es salaam
1:Aishi Manula
2:Shomary Kapombe
3:Hussen Mohamed
4:Juuko Murshid
5:Yusuph Mlipili
6-Erasto Nyoni
7:Shiza Kichuya
8:Jonas Mkude
9:John Bocco (C)
10:Emmanuel Okwi
11:Asante Kwasi

Kikosi cha Akiba
1:Said Mohamed Nduda
2:Nicholas Gyan
3:Paul Bukaba
4:James Kotei
5:Mzamiru Yassini
6:Rashid Juma
7:Laudit Mavugo

Mfumo 3-5-2
Powered by Blogger.

Total Pageviews

Popular Posts

Recent Posts

3/recent/post-list

Random Posts

3/random/post-list
Soccer Transfer News
recent/hot-posts