Yanga Wafanya Mazoezi Ya Kwanza Botswana


Kikosi cha Yanga kiko nchini Botswana tayari kwa mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers.

Yanga iliyofikia katika Hoteli ya Crystal Palace katika jiji la Gaborone, leo imefanya mazoezi kujiandaa na mchezo huo.

Mchezo huo utapigwa siku ya Jumamosi, March 17 2018 na utarushwa mubashara na kituo cha televisheni cha Azam.

Yanga inahitaji ushindi wa angalau mabao 2-0 ili iweze kutinga hatua ya makundi.


Join us on WHATSAPP 
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.