Msemaji Njombe Mji Ajiuzulu


TAARIFA

YAH KUJIUZURU NAFASI YA USEMAJI WA TIMU NA UJUMBE KAMATI YA UTENDAJI

NDUGU WADAU WA SOKA WA NJOMBE MJI FC NA WAPENDA SOKA KWA UJUMLA NAPENDA KUWAJULISHA KUWA KUANZIA LEO TAREHE 14/03/2018 NAACHIA RASMI NAFASI NILIZO KUWA NAZITUMIKIA NDANI YA TIMU YA NJOMBE MJI FC

NIMEAMUA KUACHA NAFASI HIZO KWA HIARI YANGU BILA KULAZIMISHWA NA MTU YEYOTE

NA NITABAKI KUWA MWANACHAMA MWAMINIFU WA TIMU WAKATI WOWOTE

MUNGU IBARIKI NJOMBE MJI FC

@Solanus Mhagama

14/03/2018

Join us on WHATSAPP 
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.