Yanga Uso Kwa Uso Na Singida United Robo Fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Droo ya robo fainali ya Kombe La Shirikisho 'ASFC' imefanyika leo ijumaa ya March 02 na kutoa matokeo yafuatayo.
Klabu ya Yanga watakipiga na klabu inayonolewa na kocha wa zamani wa klabu hiyo Hans Van Pluijm, Singida United...
Tarehe ya michezo hii itatangazwa hapo baadae.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.