SIMBA QUEENS NI MWENDO WA 4G SPL. :-yashika mkia kwenye msimamo wa ligi.
-Timu ya wanawake ya Simba Queens imefungwa tena mechi ya pili mfululizo katika mechi ya ligi kuu ya wanawake Serengeti Lite Premier League. Baada ya kupoteza mechi ya ufunguzi dhidi ya Kigoma Sisters timu hiyo leo tena imefungwa magoli manne kwa bila (4-0) na mabingwa watetezi timu ya Mlandizi Queens kutoka Pwani.
-Msimamo kwa sasa ligi kuu ya wanawake Serengeti Lite Premier league
Timu P GD Pts
1-JKT Queens 2 12 6
2-BaoBab Queens 2 1 4
3-Mlandizi Queens 2 3 3
4-Kigoma Sisters 2 0 3
5-Alliance Queens 2 -3 3
6-Panama Fc 2 0 2
7-Evergreen Queens 2 -8 1
8-Simba Queens 2 -5 0
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.