SIMBA NDIYO BASI TENA HATUPO NAYE CONFEDERATION CUP
Wawakilishi katika kombe la Shirikisho kutoka Tanzania, Simba sc wameondolewa licha ya kandanda safi waliloonyesha katika michezo yote miwili .
klabu ya Simba imetolewa Rasmi kwenye michuano ya Kombe la shirikisho Afrika (Caf Confederation Cup) kwa goli la ugenini baada ya mchezo wa leo kuisha kwa sare ya (0-0) huku mchezo wa kwanza uliofanyika Dar Simba walitoa sare ya Magoli mawili kwa mawil (2-2)
Klabu ya Al Masry ya Misri imefuzu hatua ya Play Off ya kombe la Shirikisho. Huku Simba Sc ikiwa imetolewa kwenye michuano hiyo moja kwa moja.
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.