Mshambuliaji Tegemeo Simba Arejea Kuwavaa Stand United

Mshambuliaji tegemeo wa timu na Nahodha wa klabu ya Simba, John Raphael naye anatarajiwa kuendelea na mazoezi leo baada ya kuanza jana kufuatia mapumziko ya takribani wiki mbili.

Bocco aliumia Februari 15 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Mwadui FC Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga na tangu hapo amekosa mechi mbili, marudiano Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gendarmerie Tnare nchini Djibouti, Simba ikishinda 1-0 bao pekee la Okwi na dhidi ya Mbao FC.


Simba itaikaribisha Stand United kesho Ijumaa kwenye uwanja wa Taifa.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.