Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Leo Kwa Michezo Kadhaa Kupigwa Soma zaidi Hapa>>>>>
Jumamosi ya leo March 03 2018 michezo minne inatarajiwa kupigwa leo kunako viwanja mbalimbali ambapo Azam watakuwa wenyeji Wa Singida United na Kagera kupambana kutoka katika msitari wa kushuka daraja.
Ratiba kamili ya leo hii hapa.
14:00 Njombe Mji vs Ruvu shooting
16:00 Tz Prisons vs Mbao Fc
16:00 Kagera Sugar vs Majimaji
19:00 Azam Fc vs Singida United
Ikumbukwe kuwa mchezo kati ya Mtibwa Sugar na Yanga ulisogezwa mbele ili kuwapa nafasi Yanga kujiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi Township Rollers.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.