Hiki Hapa Kikosi Cha Al-masry Kilichotua Nchini Kuwavaa Simba..

Al Masry imewasili Alfajiri ya leo Jumapili jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya vinara wa ligi kuu ya Vodacom, Simba.

Msafara wa watu 40, wakiwemo wachezaji 21 ndio waliowasili mapema leo.

KIKOSi KILICHOWASILI

Makipa: Ahmed Masoud, Mahmoud El-Sayed, Ahmed Busca.

Mabeki: Islam Salah, Mohamed Shatta, Ahmed Abd El-Mawgod, Abdallah El-Shamy, Mohamed Hamdy, Mohamed Koffi.

Viungo: Mohamed Abou-Sheashaa, Mostafa Marcelo, Amr Moussa, Farid Shawky, Abdelnasser Di Maria, Ahmed Shokry, Islam Issa, Saeed Mourad, Grindo.

Washambuliaji: Ahmed Gomaa, Ahmed Busca, Issouf Ouattara, Aristide Bance

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.