Droo Ya CAF Confederation Cup Imemalizika Yanga Kukipiga Na Waethiopia, Nimeambatanisha Na Matokeo Kamili Ya Droo Hiyo.
Yanga SC imepangwa na Wolaitta Dicha fc ya Ethiopia katika Raundi ya mtoano kombe la shirikisho Afrika.
Mechi ya kwanza itachezwa Dar es salaam April 6-8, na marudiano itapigwa Ethiopia April 17-18.
Mshindi kati yao atafuzu hatua makundi ya michuano hiyo.
Matokeo Mengine ya Droo hiyo haya hapa..
Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.