DRAW YA KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC) KUFANYIKA IJUMAA
-Draw ya robo Fainali ya Azam Sports Federation Cup kufanyika Ijumaa ya Marchi 02 saa 5 asubuhi katika studio za Azam Tv ambao ndio wadhamini wa kombe hilo.
-Timu nane ambazo zimefuzu robo fainali ni Njombe Mji, Singida United, Azam Fc, Mtibwa Sugar, Yanga Sc, Jkt Tanzania, Tz Prisons na Stand United, ikiwa ni timu 7 kutoka ligi kuu VPL na timu 1 ya JKT Tanzania kutoka FDL ambao wamefuzu ligi kuu msimu ujao
-Kwa mjibu wa Meneja Sports wa Azam Tv, Baruan Muhuza watachezesha draw ya robo fainali na ile ya nusu fainali.
-Draw itakuwa hivi kutakuwa na Pot 1 ambayo itakuwa na mipira ya timu zote 8 zilizofuzu robo fainali na ambaye atachaguliwa wa kwanza ndio atakuwa mwenyeji
1- A1 vs A2
2- A3 vs A4
3- A5 vs A6
4- A7 vs A8
1- A1 vs A2
2- A3 vs A4
3- A5 vs A6
4- A7 vs A8
-Baadae Mechi zote 4 zitapewa namba 1, 2, 3,4 sasa nusu fainali zinachanganywa na kuchezeshwa atakayechaguliwa wa kwanza ndio atakuwa mwenyeji wa mchezo.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.