BAKAMBU MCHEZAJI GHALI AFRIKA.
DEAL DONE:- Cedric Bakambu amekamilisha uhamisho wa kujiunga na klabu ya Beijing Guoan ya China akitokea Vilarreal ya Hispania kwa dau la £65m na kuwa mchezaji Ghali zaidi kutoka Afrika.
-Wachezaji Ghali watano kutoka Afrika ni
1-Bakambu (Vilarreal to Beijing Guoan) £65m
2-Aubameyang (Dortmund to Arsenal) £56m
3-Keita ( RB leipzig to Liverpool) £51m
4-Salah (Roma to Liverpool) £34m
4-Mane (Southampton to Liverpool) £34m
5-Bailly (Vilarreal to Man United ) £30m
@yossima Sitta Jr.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.