Azam Waiporomosha Yanga Ligi kuu, wainyemelea Simba Kimyakimya.


Klabu ya Azam i.eisgusha Yanga kutoka kwenye nafasi ya pili ya ligi kuu Tanza bara baada ya kuiadhibu klabu ya Mbao fc kwa jumla ya goli 2-1 huku ikimpumulia kinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sc..

Haya hapa matokeo kamili ya ligi kuu raundi ya 22 iliyopigwa leo..

FT: Tanzania Prisons 2-1 Mtibwa Sugar 
FT: Singida United 0-0 Ndanda FC.
FT: Majimaji FC 0-0 Lipuli FC
FT: Ruvu Shooting 2-2 Mbeya City
FT: Azam FC 2-1 Mbao FC (Azam Complex, Chamazi)
Machi 12, 2018 : Young Africans Vs Stand United (Taifa, Dar)
Machi 13, 2018: Kagera Sugar vs Mwadui (Kaitaba, Kagera)

Msimamo wa ligi kuu 



Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.