ARSENAL NA BARCELONA NDIO TIMU PEKEE ZENYE WACHEZAJI KWENYE KILA KUNDI KOMBE LA DUNIA.


Tokeo la picha la ARSENAL AND BARCELONA
Klabu za Arsenal na Barcelona ndio timu pekee zenye wachezaji kwenye kila kundi kombe la dunia mwaka huu 2018 michuano inayotarajiwa kufanyika nchiniUrusi.

Group A: Elneny
Group B: Monreal
 Group C: Koscielny
Group D: Iwobi
Group E: Özil
Group F: Xhaka
Group G: Wilshere
 Group H: Ospina


Join us on WHATSAPP
Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.