Wamasai Wampokea Rais Wa FIFA 'Giovanni Infantino'..

Tokeo la picha la giovanni infatino

Rais wa FIFA Giovanni Infantino mara baada ya kuwasili nchini amefungua rasmi mkutano wa FIFA Executive Summmit katika ukumbi wa JNICC Dar, Kabla ta ufunguzi alipokelewa na ngoma ya kiasili kutoka kabila la Wamasai ambao walimpa zawadi mbalimbali za kiasili na tamaduni zao

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.