+VIDEO: Goli La Ibrahim Ajib Leo Dhidi Ya St Louis Yanga Ikisonga Mbele..

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuonga mbele katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kuitupilia nje klabu ya St Louis ya nchini Shelisheli kwa agrigate ya magoli 2-1 baada ya kutoka sare ya goli 1-1 katika mchezo ulipigwa leo.

Faida kwa Yanga ni goli pekee lililofungwa na Juma Mahadhi katika uwanja wa taifa Dar ess salaam katika mchezo wa awali..

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.