HASSAN KESSY MAN OF THE MATCH


  • Licha ya kupangwa kama beki wa pembeni lakini aliweza kuwa msaada mkubwa kwenye timu kama ‘ wing man ‘ akisaidia ulinzi na mashambulizi. 
    Kasi yake , uwezo wa kumiliki mpira, na kutoa pasi za uhakika jambo ambalo kwa kipindi fulani lilikuwa likimsumbua ( accuracy ) limeweza kuipa balance nzuri timu kwenye kujenga mashambulizi ya upande yaliyozaa goli akichonga pasi nzuri toka wing ya kulia. 
    Ametengeza nafasi 4 za wazi kwa washambuliaji na viungo wa kati. Amemtengenezea pasi Piusi Buswita ambaye alishindwa kumalizia mara mbili , Tshishimbi na nafasi ya goli kwa Ibrahimu Ajibu. 
    Well done Kessy , ongeza juhudi , maarifa , nidhamu ya mpira ndani na nje utakwenda mbali zaidiz 
    SAMUEL SAMUEL

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.