Taarifa mpya kutoka Simba sc mchana huu.

Klabu ya Simba kupitia kamati yetu ya uchaguzi ikiongozwa na Mwenyekiti Boniphace Lihamwike tumetangaza rasmi tarehe ya kufanya  uchaguzi mkuu.

Kuanzia kesho jumatatu Septemba 3,2018 tutaanza kutoa fomu  kwa wagombea kwa nafasi zote na uchaguzi utafanyika  Novemba 3,2018.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.