Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumamosi ya September 1 2018

Matokeo ya game za Ligi Kuu Tanzania bara ya game zilizochezwa leo Jumamosi ya September 1 2018

Mpira umemalizika, Mtibwa Sugar imeondoka na ushindi wa mabao 2-1 ikiwa nyumbani dhidi ya Mbeya City.


Kwenye dimba Sokoine Jijini Mbeya, Wajelajela wamewapigisha kwata 'Wanafunzi' wa Alliance Schools Academy kwa kuwapa kichapo cha mabao 2-0.
FT: Tanzania Prisons 2-0 Alliance.

Jijini Tanga Coastal Union na KMC hakuna mbabe, ni sare ya bao 1-1.
FT: Coastal Union 1-1 KMC.

Kwenye Dimba la Kaitaba Bukoba, mpira umemalizika, hakuna bao.
FT: Kagera Sugar 0-0 African Lyon .


No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.