Baada ya mechi tano za leo, Mbao FC imeendelea kubaki kileleni huku Mtibwa, Stand United na Tanzania Prisons zikikwea juu kwenye msimamo wa ligi na Mbeya City imeendelea kubaki mkiani baada ya kukamilisha raundi tatu za kwanza ikiwa ugenini mechi zote.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.