Vilabu vya ligi kuu Tanzania bara TPL vyaanza kumgombania Mbape wa Serengeti Boys
-Mchezaji bora wa Mashindano ya Kufuzu kwa AFCON U17 kwa Kanda ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) Kelvin Pius John Mbappe amesema vilabu vya Simba, Azam, African Lyon, na Mbeya City zimemhitaji baada ya kumalizika kwa mashindano hayo ila nyota huyo amekataa kujiunga na klabu yoyote mpaka mashindano ya AFCON U17 mwakani yatakayofanyika Tanzania kumalizika ndio atajua hatma ya soka lake ila malengo yake ni kwenda kucheza soka nje ya Tanzania.
@yossima Sitta Jr.
@yossima Sitta Jr.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.