Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara TPL leo jumatatu 27.08.2018

Leo katika TPL mambo yatakuwa hivyo
Alliance FC watawakaribisha Africa Lyon hawa wote mechi ya kwanza walipoteza kila mtu anahitaji ushindi pia wote wageni ktk ligi kuu msimu huu

Simba SC watawakaribisha vijana wa Mbeya City wakiwa wanampango wakuonyesha wao nipo zaidi chino ya meneja wao mpya Mwagane Yeya Mbeya City wakiwa wanahitaji point

Azam ataendeleza ushindi katika mechi ya leo kumbuka Ndanda wamempapasa mtu kwao palepale

Tanzania:- Tanzania Premier League
16:00 Alliance FC vs African Lyon
18:00 Simba SC vs Mbeya City
20:00 Azam FC vs  Ndanda FC 

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.