Okwi ashinda tuzo nyingine Ligi kuu Tanzania Bara


Kampuni ya kuuza vifaa vya michezo Just Fit Sports Gear Ltd ya Dar imemkabidhi tuzo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Emmanuel Okwi kama mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara msimu ulioisha. Pia Okwi amepewa vifaa vya michezo kama zawadi kutoka kwa kampuni hilo.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.