Mechi Ya Simba Na Mouludia, mchezo wachezwa kwa dakika 65 .

Mabingwa Tanzania Bara Simba wako nchini Uturuki wakiendelea na maandalizi ya msimu mpya wa ligi na michuano ya Kimataifa.


Simba  ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Moulodia ya Morocco ambayo nayo iko nchini Uturuki.

Mchezo huo umepigwa kwa dakika 65 pekee ukiisha kwa sare ya bao 1-1 kutokana na mvua kubwa kunyesha.

Mabao yote yalipatikana kwenye kipindi cha pili huku bao la Simba likifungwa na Adam Salamba.

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alitumia vikosi viwili ambapo alibadilisha timu nzima kwenye kipindi cha pili.

Kikosi cha kipindi cha pili;

1. Dida 
2. Gyan
3. Tshabalala
4. Mlipili 
5. Bukaba
6. Muzamir 
7. Marcel 
8. Ndemla
9. Salamba
10. MO Rashid 
11. MO Ibrahim

Kikosi cha kipindi cha kwanza;

1.Aishi Manula
2.Shomari Kapombe
3.Asante Kwasi
4.James Kotei
5.Pascal Wawa
6.Jonas Mkude
7.Shiza Kichuya
8.Claotous Chama
9.Medie Kagere
10.Hassan Dilunga
11.Emmanuel Anord Okwiii

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.