Matokeo ya CAF Champions league na timu zilizofuzu hatua ya robo fainali.
Miongoni mwa timu zilizotupwa nje ni pamoja na timu anayoitumikia Mtanzania Simon Msuva ambayo kwa alama ilizokua nazo ilihitaji matokeo ya ushindi dhidi ya TP Mazembe na hivyo kushindwa kusonga mbele baada ya kuambulia sare ambayo iliwanufaisha Mazembe.
Matokeo kamili haya hapa.
TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇲🇦Difaa El Jadida
MC Alger 🇩🇿 1-2 🇩🇿 ES Sétif
ZESCO United 🇿🇲 1-1 🇹🇳 Etoile du Sahel
1º de Agosto 🇦🇴 2-1 🇸🇿 Mbabane Swallows
AS Togo Port 🇹🇬 0-0 🇲🇦 Wydad Casablanca
Mamelodi Sundowns 🇿🇦 0-0 🇬🇳 Horoya AC
Al Ahly🇪🇬 4-3 🇺🇬KCCA
Township Rollers🇧🇼 0-0 🇹🇳ES Tunis
Timu zilizofuzu hizi hapa
- Al Ahly 🇪🇬
- Esperance Tunis 🇹🇳
- TP Mazembe🇨🇩
- ES Sétif🇩🇿
- Wydad Casablanca 🇲🇦
- Horoya AC 🇬🇳
- Etoile du Sahel 🇹🇳
- 1º de Agosto 🇦🇴
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.