Kocha mkuu Simba awataja wawili watakaokosekana mechi ya Mbeya City kesho.



Wakati ligi kuu Tanzania bara ikiendelea kupamba moto Kocha mkuu wa klabu ya Simba, Patrick Aussems amethibitisha mshambuliaji wa klabu hiyo Emmanuel Okwi atakosekana katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya City siku ya Jumatatu August 27 saa 12:00 jioni kutokana na kujitonesha majeraha ya goti aliyoyapata kwenye mchezo wa ngao ya jamii dhidi ya Mtibwa Sugar August 18.

Pia kiungo wa klabu ya Simba Mzamiru Yassin naye atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili.


Klabu hiyo inatarajiwa kushuka dimbani kesho kumenyana na wgonga nyundo wa jiji la Mbeya katika mchzo wa pili wa ligi kuu Tanzania bara TPL

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.