Hii hapa hatma ya Mtibwa Sugar michuano ya CAF.


Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho barani Afrika, Mtibwa Sugar na Santos ya Afrika Kusini yanakwenda vizuri ambapo Mtibwa imeongezewa wiki mbili kumalizana na Santos ili iruhusiwe kushiriki michuano hiyo. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema Mtibwa Sugar kwa sasa ipo katika mazungumzo maalum na Santos ya Afrika Kusini ili kuweza kuilipa fidia kama ilivyoelekezwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.