TAKWIMU MBALIMBALI KATIKA VPL MSIMU WA 2017/2018



1.Ndiye Bingwa wa ligi kuu msimu huu nafasi hiyo imeshikwa na Simba Sc.

1.Simba Sc katika msimu wa 2017/2018 amepoteza mechi 1 tu ambayo alifungwa na Kagera Sugar.

2.Ni timu mbili tu zilizoshuka daraja msimu huu Majimaji na Njombe mji ikumbukwe timu hizo zinatoka kanda ya kusini.

4.Ni timu 4 tu ambazo zimepata Matokeo ya sare 10 katika Vpl nazo ni Njombe,Mbao,Yanga na Azam fc.

5.Ni timu 5 pekee zilizopata Matokeo ya sare katika michezo 11 nazo ni Singida,Lipuli,Mtibwa,Ruvu shooting na Ndanda

6.Ni idadi ya michezo ambayo Yanga Sc na Tz Prisons walipoteza msimu ulioisha 2017/2018

7.Majimaji,Mbeya city  na Njombe mji wameshinda mechi chini ya 7 msimu huu.

TAKWIMU ZAIDI.

>Timu zilizofunga magoli mengi Simba 65, Yanga 44 na Azam fc 35.

>Timu zilizoshinda mechi nyingi Simba 20,Azam fc 16 na Yanga Sc 14.

>Timu zilizofungwa michezo michache zaidi Simba Sc 1,Azam fc 4 na Yanga& Tz prisons 6.

>Timu iliyopata sare michezo michache zaidi ni Stand united Michezo 8.

>Timu zilizoshinda michezo michache Njombe mji na majimaji zote michezo 4.

>Timu zilizotoa sare michezo mingi zaidi Mbeya city 16 na Kagera Sugar 13.

>Timu zilizofungwa michezo mingi zaidi Njombe mji 16, Majimaji na Stand United 14.

> Timu zilizofungwa magoli mengi zaidi Njombe mji 43 na Majimaji 42

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.