DEAL DONE: Yanga Yampa Mkataba Nyota Huyu Kumrithi Ngoma

-Klabu ya Yanga Sc imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Benin, Marcelin Koukpo mwenye umri wa miaka 23 kutoka timu ya Les Buffles Fc du Borgou ya Benin.

>>>>TETESI ZOTE ZA USAJILI YANGA SC<<<<<

-Koukpo ambaye amepewa jezi namba 11 iliyokuwa inavaliwa na Donald Ngoma  amesaini kandarasi ya miaka miwili na ataungana timu Kenya kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup.

@yossima Sitta Jr.

Leave a Comment