"Yametimia" Manara Kuunguruma Leo.
Ile siku iliyokuwa imengojewa na wapenzi wa soka hususani mashabiki wa timu za Simba na Yanga imewadia kwani leo tarehe 16/5/2018 saa sita kamili Afisa habari wa Simba, Haji Manara anatarajiwa kuzungumza na wanahabari ikiwa ni kutimiza ahaai aliyoitowa mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Singida uniUni na Simba.
Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema "ntazungumz na wanahabari kwenye ukumbi wa kivukoni four Ukumbi huo upo ndani ya Hoteli ya nyota tano ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es Salaam"
Hata hivyo mkutano huo unaotarajiwa kufanyika mchana wa leo utakuwa Mubashara kupitia runinga na mitandao ya kijamii. "Azam tv watarusha live mkutano huo sambamba na page zangu binafsi na za klabu bingwa ya nchi Simba"
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.