Kocha Huyu Atua Yanga Kuongeza Nguvu, Nsajigwa Na Pondamali Watupwa Nje.
Yanga iko mbioni kufanya mabadiriko katika benchi lake la ufundi kwa baadhi ya makocha kuondoshwa na kuongezwa wengine.
Baadhi ya makocha ambao wanaondoshwa ni pamoja na Kocha Nsajigwa na kocha wa makipa juma pondamali kocha wa makipa,
Huku wakibaki Mwinyi zahera na Mwandila na akiongezeka Meck mexime ambaye ni kocha wa Kagera Sugar na nafasi ya Pondamali kuchukuliwa na Razack Siwa raia wa Kenya.