CECAFA CUP YAENDELEA LEO MOZAMBIQUE YACHAPA MTU GOLI 3-0


Michuano ya kukania ubingwa wa soka kwa mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika COSAFA,imeendelea leo kwa michezo miwili ya kundi "A" kupigwa.


Katika mchezo wa awali ambao umezikutanisha timu za mataifa ya Comoros Islands na  Mozambiqu umemalizika kwa Mozambique kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 yaliyopachikwa kimiyani na Jeitoso VB goli 1, huku Luis Miquissone akipachika magoli 2.


Mchezo mwingine ulikuwa baina ya Madagascar na Seychelles na mchezm huo umemalozika kwa sare ya goli 1-1 ambapo Joatombo Bourahim ameifungia Madagascar na Eric Millie akiiswazishia Seychelle.


Aidha michuano hiyo inatarajiwa kuendelea kesho kwa michezo miwili ya kundi B na ratiba kamili hii hapa.
Angola v Mauritius (KO 17h00 local, 15h00 GMT)
Botswana vs Malawi (KO 19h30 local, 17h30 GMT)


Msimamo wa makundi.

   Grouo A
Group A P W D L GF GA Pts
Madagascar 2 1 1 0 3 2 4
Mozambique 2 1 0 1 4 2 3
Seychelles 2 0 2 0 2 2 2
Comoros Islands 2 0 1 1 1 4 1

Group B.

Group B P W D L GF GA Pts
Botswana 1 1 0 0 2 1 3
Mauritius 1 1 0 0 1 0 3
Angola 1 0 0 1 1 2 0
Malawi 1 0 0 1 0 1 0

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.