Isome Taarifa Hii Ya Yanga Kwa Mashabiki Wake.
Twende zetu Kenya tukaishangilie Yanga kwenye michuano ya SportPesa Super Cup turudi na Kombe nyumbani.
Tembelea makao makuu ya Yanga (Kariakoo), jisajili kwenye Gazebo la SportPesa kisha weka bet angalau moja ili uweze kuingia kwenye droo ya kujishindia safari ya kwenda Kenya.
Washindi watano (5) kupatikana kila siku, ambapo mwisho wa kushiriki ni Jumanne, 29 Mei.
Hakikisha una hati ya kusafiria na upo tayari kusafiri muda wowote ambapo SportPesa itakulipia usafiri wa kwenda na kurudi, pamoja na tiketi za kuingilia uwanjani.
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.