BIG SAM AACHANA NA EVERTON
Sam Allardyce 'Big Sam' ameondoka katika klabu ya Everton baada ya kuitumikia timu hiyo kwa muda wa miezi 6
Taarifa ya Everton imesema inamshukuru Sam kwa muda wote aliokuwa Everton na kwamba ameipa utulivu kwa kiasi fulani.
Jana kikao cha bodi kuu ya Everton kilifikia maamuzi ya kuachana Allardayce na wanatakiwa kumlipa mwaka mmoja uliobaki kwenye mkataba wake ambayo ni thamani ya pauni milioni 6.
Big Sam aliikuta Everton ikiwa nafasi ya 13 kwenye ligi na kuiongoza mpaka kumaliza ikiwa nafasi ya 8.
Meneja wa Zamani wa Watford Marcos Silva anatarajiwa kurithi nafasi hiyo.BIG SAM AACHANA NA EVERTON
Sam Allardyce 'Big Sam' ameondoka katika klabu ya Everton baada ya kuitumikia timu hiyo kwa muda wa miezi 6
Taarifa ya Everton imesema inamshukuru Sam kwa muda wote aliokuwa Everton na kwamba ameipa utulivu kwa kiasi fulani.
Jana kikao cha bodi kuu ya Everton kilifikia maamuzi ya kuachana Allardayce na wanatakiwa kumlipa mwaka mmoja uliobaki kwenye mkataba wake ambayo ni thamani ya pauni milioni 6.
Big Sam aliikuta Everton ikiwa nafasi ya 13 kwenye ligi na kuiongoza mpaka kumaliza ikiwa nafasi ya 8.
Meneja wa Zamani wa Watford Marcos Silva anatarajiwa kurithi nafasi hiyo.
No comments:
Note: only a member of this blog may post a comment.