Mechi Ya Simba Na Yanga Tiketi Zinaendelea Kuuzwa.


Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga Jumapili Aprili 29,2018 umepangwa kuanza saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa 

Tiketi zinaendelea kuuzwa kupitia Selcom.



Mageti yanatarajia kufunguliwa mapema kuanzia saa mbili asubuhi ambapo vyakula na vinywaji vitapatikana ndani.

Jeshi la Polisi limehakikisha ulinzi utakua wa hali ya juu na kuwatahadharisha wale wote wenye nia ya kufanya vitendo vya uovu.

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.