Ishu Ya Yanga TV Show Yachukua Sura Mpya, Taarifa Mbili Mpya Kutoka Yanga.


Klabu ya Yanga leo ijumaa ya tarehe 06.04.2018 inatarajiwa kufanya kikao na waandishi wa habari kunako makao makuu ya klabu hiyo.

Kikao hicho kinatarajiwa kuanza leo majira ya saa 7:30 (saba na nusu) mchana.



RASMI YANGA TV SHOW KUANZA KUONYESHWA TAREHE HII.

Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu tutangaziwe kuhusiana na kipindi cha Televisheni ambacho kingeihusisha Yanga , (Yanga TV Show) kuwa kingeanzishwa mnamo  April Mosi, sasa mambo yamewekwa sawa na sasa kipindi hiki kitaanza kuruka mubashara mnamo tarehe 20.


A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

Join us on WHATSAPP Usipitwe Na Breaking News Za Soka: Jiunge nasi kupitia Facebook, Bofya LIKE Button...

No comments:

Note: only a member of this blog may post a comment.